sw_tn/jer/10/03.md

413 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA amemaliza kuwakumbusha kuwa wasijifunze njia za matiafa wala kutishwa na vitu wanavyoviona angani.

fundi

"mtu mwenye ujuzi wa kazi za mikono"

sanamu za kutisha ndege

Hii ni sanamu yenye sura ya mtu iliyotengenezsa ili kutisha ndege ili kuzuiza kula mazo

matango

Ni ainaya mboga za majani ambayo huwa na umbo refu, na rangi ya kijani na nofu nyeupe nayo huwa na maji mengi.