# Taarifa kwa ujumla BWANA amemaliza kuwakumbusha kuwa wasijifunze njia za matiafa wala kutishwa na vitu wanavyoviona angani. # fundi "mtu mwenye ujuzi wa kazi za mikono" # sanamu za kutisha ndege Hii ni sanamu yenye sura ya mtu iliyotengenezsa ili kutisha ndege ili kuzuiza kula mazo # matango Ni ainaya mboga za majani ambayo huwa na umbo refu, na rangi ya kijani na nofu nyeupe nayo huwa na maji mengi.