sw_tn/jer/09/10.md

44 lines
1012 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda. Katika mstari wa 12, Yeremia anatoa maoni yake.
# Nitaimba wimbo ...kwa ajili ya milima
BWANA anaomboleza kwa ajili ya nchi ya Israeli kana kwamba mtu amekufa.
# milima
mahali ambapo wanyama hupata malisho
# kwa kuwa wameteketezwa
"kwa kuwa kuna mtu ambaye ameyateketeza hayo malisho
# Hawatasikia sauti ya ngombe yeyote
"Hakuna ambaye atasikia sauti ya ng'ombe
# maficho ya mbweha
"mahali ambapo mbweha hujificha"
# mbweha
mbwa wakali
# isiyokaliwa na watu
"mahali ambapo watu hawakai
# Ni nani mwenye hekima anayeyaelewa haya
"kama manabii wenu ni wenye hekima kweli, wanapaswa kuelewa kwa nini nchi imeharibiwa
# Je, kinywa cha BWANA kinatanga nini kwake ili awaeze kuyasema
"Kama kweli BWANA anasema na manabii wenu, basi wanapaswa kuwaambia kile ambacho BWANA anasema juu ya uharibifu wa nchi."
# kwa nini nchi imepotea
"Lakini manabii wenu hawana hekima na BWANA hasemi nao, kwa hio hawajui kwa nini nchi imeharibika"