# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda. Katika mstari wa 12, Yeremia anatoa maoni yake. # Nitaimba wimbo ...kwa ajili ya milima BWANA anaomboleza kwa ajili ya nchi ya Israeli kana kwamba mtu amekufa. # milima mahali ambapo wanyama hupata malisho # kwa kuwa wameteketezwa "kwa kuwa kuna mtu ambaye ameyateketeza hayo malisho # Hawatasikia sauti ya ngombe yeyote "Hakuna ambaye atasikia sauti ya ng'ombe # maficho ya mbweha "mahali ambapo mbweha hujificha" # mbweha mbwa wakali # isiyokaliwa na watu "mahali ambapo watu hawakai # Ni nani mwenye hekima anayeyaelewa haya "kama manabii wenu ni wenye hekima kweli, wanapaswa kuelewa kwa nini nchi imeharibiwa # Je, kinywa cha BWANA kinatanga nini kwake ili awaeze kuyasema "Kama kweli BWANA anasema na manabii wenu, basi wanapaswa kuwaambia kile ambacho BWANA anasema juu ya uharibifu wa nchi." # kwa nini nchi imepotea "Lakini manabii wenu hawana hekima na BWANA hasemi nao, kwa hio hawajui kwa nini nchi imeharibika"