forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
965 B
Markdown
36 lines
965 B
Markdown
# Taarifa kwa ujumla
|
|
|
|
Yeremia na BWANA wana mazungumzo juu ya watu wa Yuda.
|
|
|
|
# Huzuni yangu haina ukomo, na moyo wangu unaugaua
|
|
|
|
Aya hii kwa Kihebrania inatafsiriwa tofauti sana leo.
|
|
|
|
# Huzuni yangu haina ukomo
|
|
|
|
kiwakilishi "yangu" kinamwakilisha Yeremia. "Nina huzuni sana"
|
|
|
|
# na moyo wangu unaugua
|
|
|
|
kiwakilishi cha "wangu" kinamwakilisha Yeremia. "Ninajihisi kuugua ndani yangu."
|
|
|
|
# Sikia sauti ya mauivu ya binti wa watu wangu kutoka mbali!
|
|
|
|
Hii inaweza kumaanisha1) "watu wa Yudsa wanaita wakiwa utumwani mbali sana 2)"Watu wa Yuda wanaita kutoka katika nchi ya Israeli yote."
|
|
|
|
# binti wa watu wangu
|
|
|
|
Israeli ni kama binti
|
|
|
|
# Je, BWANA hayumo sayuni?
|
|
|
|
Yerusalemu inaitwa Sayuni pia
|
|
|
|
# Je, BWANA hayumo Sayuni? Mfalme wake hayumo ndani yake?
|
|
|
|
"Kwa nini BWANA hatuokoi kama ndiye mfalme wa Yerusalemu?
|
|
|
|
# Kwa nini sasa wananichukiza kwa vitu vya kuchongwa na sanamu za kigeni zilizo batili?
|
|
|
|
"Kama wanataka niwaokoe, basi wasinichukize kwa kuabudu sananmu zao."
|