sw_tn/jer/08/18.md

965 B

Taarifa kwa ujumla

Yeremia na BWANA wana mazungumzo juu ya watu wa Yuda.

Huzuni yangu haina ukomo, na moyo wangu unaugaua

Aya hii kwa Kihebrania inatafsiriwa tofauti sana leo.

Huzuni yangu haina ukomo

kiwakilishi "yangu" kinamwakilisha Yeremia. "Nina huzuni sana"

na moyo wangu unaugua

kiwakilishi cha "wangu" kinamwakilisha Yeremia. "Ninajihisi kuugua ndani yangu."

Sikia sauti ya mauivu ya binti wa watu wangu kutoka mbali!

Hii inaweza kumaanisha1) "watu wa Yudsa wanaita wakiwa utumwani mbali sana 2)"Watu wa Yuda wanaita kutoka katika nchi ya Israeli yote."

binti wa watu wangu

Israeli ni kama binti

Je, BWANA hayumo sayuni?

Yerusalemu inaitwa Sayuni pia

Je, BWANA hayumo Sayuni? Mfalme wake hayumo ndani yake?

"Kwa nini BWANA hatuokoi kama ndiye mfalme wa Yerusalemu?

Kwa nini sasa wananichukiza kwa vitu vya kuchongwa na sanamu za kigeni zilizo batili?

"Kama wanataka niwaokoe, basi wasinichukize kwa kuabudu sananmu zao."