sw_tn/jer/08/04.md

393 B

Kwa hiyo uwaambie

BWANA anaongeana Yeremia

uwaambie

"kwa watu wa Yuda"

Je, kuna mtu anayeanguka na hasimami?

"Mnajua kuwa mtu anapoanguka, husimama."

Je, kuna mtu anayepote na hajaribu kurudi?

"mtuu anapopotea, hujaribu kurudi kwenye njia sahihi

Kwa nini hawa watu, Yerusalemu, wamegeukia uasi daima?

"Haiingii akilini kwamba hawa watu wa Yerusalemu wamegeukia uasi daima."