sw_tn/jer/08/04.md

20 lines
393 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa hiyo uwaambie
BWANA anaongeana Yeremia
# uwaambie
"kwa watu wa Yuda"
# Je, kuna mtu anayeanguka na hasimami?
"Mnajua kuwa mtu anapoanguka, husimama."
# Je, kuna mtu anayepote na hajaribu kurudi?
"mtuu anapopotea, hujaribu kurudi kwenye njia sahihi
# Kwa nini hawa watu, Yerusalemu, wamegeukia uasi daima?
"Haiingii akilini kwamba hawa watu wa Yerusalemu wamegeukia uasi daima."