sw_tn/jer/07/16.md

246 B

Usiwaombee watu hawa ... na usinisihi

"usiniombe mimi ukisema niwabariki watu hawa"

usiinue maombolezo ya kilio

"usilie kwa huzuni"

kwa niba yao

"kwa ajili ya faiada yao"

usinisihi

"usiniombe"

ili kunikasirisha

"kunikasirisha"