sw_tn/jer/07/16.md

20 lines
246 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Usiwaombee watu hawa ... na usinisihi
"usiniombe mimi ukisema niwabariki watu hawa"
# usiinue maombolezo ya kilio
"usilie kwa huzuni"
# kwa niba yao
"kwa ajili ya faiada yao"
# usinisihi
"usiniombe"
# ili kunikasirisha
"kunikasirisha"