sw_tn/jer/06/20.md

40 lines
691 B
Markdown

# Huu ubani unaopanda kutoka Sheba una maana gani kwangu? au huu udi kutoka nchi ya mbali?
Sihitaji ubani kutoka Sheba au harufu nzuri ya mafuta kutoka nchi ya mbali?
# huu udi
Hii harufu nzuri ilitumiKa kumwabudu Mungu hekaluni
# hazikubaliki kwangu
"havinifurahishi"
# Tazama
neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kiinachofuata, "kwa kweli"
# Niko tayari kuweka kikwazo dhidi ya watu hawa
""Niko tayari kuweka kikwazo mbele ya watu hawa"
# kikwazo
magumu
# juu yake
"juu yao"
# baba na watoto wao
"baba na watoto wote watajikwaa"
# wakazi na jirani zao
"majirani na marafiki"
# limechochewa kutoka nchi ya mbali
"limehuhishwa ili lije kutoka maeneo ya mbali"