sw_tn/jer/06/20.md

691 B

Huu ubani unaopanda kutoka Sheba una maana gani kwangu? au huu udi kutoka nchi ya mbali?

Sihitaji ubani kutoka Sheba au harufu nzuri ya mafuta kutoka nchi ya mbali?

huu udi

Hii harufu nzuri ilitumiKa kumwabudu Mungu hekaluni

hazikubaliki kwangu

"havinifurahishi"

Tazama

neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kiinachofuata, "kwa kweli"

Niko tayari kuweka kikwazo dhidi ya watu hawa

""Niko tayari kuweka kikwazo mbele ya watu hawa"

kikwazo

magumu

juu yake

"juu yao"

baba na watoto wao

"baba na watoto wote watajikwaa"

wakazi na jirani zao

"majirani na marafiki"

limechochewa kutoka nchi ya mbali

"limehuhishwa ili lije kutoka maeneo ya mbali"