sw_tn/jer/06/13.md

672 B

kutoka kwa mdogo hadi kwa mkubwa

"watau wote wa Israeli waliobaki kutoka kwa mtu dahaifu kabisa hadi mwenye nguvu."

anatamani mapato ya udanganyifu

"anayefanya mambo mabaya kwa wengine ili apate fedha"

vidonda vya watu wangu

"matatizo makubwa amabayo watu wangu wanayo"

kwa juu juu

"kama vile havikuwa vinvauma"

'Amani! Amani! na kumbe amani haipo

"Yote yako sawa! kumbe hayako sawa"

Je, waliona aibu walipofanya machukizo?

"Walifanya dhambi mbaya sana, lakini hawakuna aibu"

Hawakuona aibu, hawakuwa na aibu

"hawakuona aibu kwa kile walichofanya"

wataanguka

"watauawa"

wataangushwa

"watajikwaa" au "watapoteza nguvu zao na kuwa dhaifu"