# kutoka kwa mdogo hadi kwa mkubwa "watau wote wa Israeli waliobaki kutoka kwa mtu dahaifu kabisa hadi mwenye nguvu." # anatamani mapato ya udanganyifu "anayefanya mambo mabaya kwa wengine ili apate fedha" # vidonda vya watu wangu "matatizo makubwa amabayo watu wangu wanayo" # kwa juu juu "kama vile havikuwa vinvauma" # 'Amani! Amani! na kumbe amani haipo "Yote yako sawa! kumbe hayako sawa" # Je, waliona aibu walipofanya machukizo? "Walifanya dhambi mbaya sana, lakini hawakuna aibu" # Hawakuona aibu, hawakuwa na aibu "hawakuona aibu kwa kile walichofanya" # wataanguka "watauawa" # wataangushwa "watajikwaa" au "watapoteza nguvu zao na kuwa dhaifu"