sw_tn/jer/06/06.md

801 B

Kateni miti yake

"Ikateni miti yake" BWANA anawaambia lile jeshi ambalo litaivamia Yerusalemu.

vifusi vya kuitekea

"vifus." Hivi ni vifisi vya takataka ambavyo vitawawezesha wanajeshi kuziangamiza kuta za Yerusalemu

kwa sababu umejaa ukandamizaji

"kwa sababu watu wake wanaoneana wao kwa wao"

Kama vile kisima kitoavyo maji, vivyo hivyo mji huu uzaavyo uovu

Kama vile kisima kinavyobaki na maji, Yerusalemu imebaki na uovu, hata kama BWANA anaiadhibu.

uharibifu na jeuri vimesikika kwake

"Ninasikia uharibifu na ujambazi kwake."

Mateso na jeuri viko mbele yangu daima

Daima ninaona ugonjwa na mateso."

Uadhibishwe, ee Yerusalelmu

"Jifunzeni kutoka kwenye hiyo adhabu yenu, enyi watu wa Yerusalemu.

nchi isiyokariwa na watu

"nchi ambayo hakuna watu wanaoishi ndani yake"