# Kateni miti yake "Ikateni miti yake" BWANA anawaambia lile jeshi ambalo litaivamia Yerusalemu. # vifusi vya kuitekea "vifus." Hivi ni vifisi vya takataka ambavyo vitawawezesha wanajeshi kuziangamiza kuta za Yerusalemu # kwa sababu umejaa ukandamizaji "kwa sababu watu wake wanaoneana wao kwa wao" # Kama vile kisima kitoavyo maji, vivyo hivyo mji huu uzaavyo uovu Kama vile kisima kinavyobaki na maji, Yerusalemu imebaki na uovu, hata kama BWANA anaiadhibu. # uharibifu na jeuri vimesikika kwake "Ninasikia uharibifu na ujambazi kwake." # Mateso na jeuri viko mbele yangu daima Daima ninaona ugonjwa na mateso." # Uadhibishwe, ee Yerusalelmu "Jifunzeni kutoka kwenye hiyo adhabu yenu, enyi watu wa Yerusalemu. # nchi isiyokariwa na watu "nchi ambayo hakuna watu wanaoishi ndani yake"