sw_tn/jer/05/26.md

32 lines
582 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaenedelea kuongea
# watu wao wamo kati ya watu wangu
"kwa kuwa nimewaona watu waovu kati ya watu wangu
# wanaweka mtego na kukamata watu
"wanapanga vitu ili kwamba wapate nafasi ya kupata watu"
# wanakua na kutajirika
"wanakuwa na nguvu pia matajiri"
# wanang'aa nakupendeza
"wana ngozi laini na wene kupendeza"
# wamepitiliza hata mipika ya maovu
"wanafanya vitu ambavyo viko zaidi ya uovu"
# Sababuy a kuwepo kwa watu yatima
"hawawajali kusadaia mashauri yanayoletwa na yatiima
# kwa nini nisiwaadhibu ... taifa la namna hii
Tazama 5:7