sw_tn/jer/05/26.md

582 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaenedelea kuongea

watu wao wamo kati ya watu wangu

"kwa kuwa nimewaona watu waovu kati ya watu wangu

wanaweka mtego na kukamata watu

"wanapanga vitu ili kwamba wapate nafasi ya kupata watu"

wanakua na kutajirika

"wanakuwa na nguvu pia matajiri"

wanang'aa nakupendeza

"wana ngozi laini na wene kupendeza"

wamepitiliza hata mipika ya maovu

"wanafanya vitu ambavyo viko zaidi ya uovu"

Sababuy a kuwepo kwa watu yatima

"hawawajali kusadaia mashauri yanayoletwa na yatiima

kwa nini nisiwaadhibu ... taifa la namna hii

Tazama 5:7