sw_tn/jer/05/23.md

28 lines
473 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuwaambia wana wa Israeli.
# mioyo ya usumbufu
"ni msumbufu na mpinzani"
# Hugeuka kuwa wapinzani na kuondoka
"hawatii wala kusikliza."
# hawasemi mioyoni mwao
"hawafikirii wao wenyewe"
# ambaye hutunza majumaya mavuno ka ajili yetu
"nakuhakikisha kwa ajili yetu kuwa majuma ya mavuno yawepo kwa wakati wake"
# uovu wako
Neno "wako" linamaanisha kizazi chaYakobo na watu wa Yuda. "dhambi zako"
# mambo mema
mvua na mavuno