# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuwaambia wana wa Israeli. # mioyo ya usumbufu "ni msumbufu na mpinzani" # Hugeuka kuwa wapinzani na kuondoka "hawatii wala kusikliza." # hawasemi mioyoni mwao "hawafikirii wao wenyewe" # ambaye hutunza majumaya mavuno ka ajili yetu "nakuhakikisha kwa ajili yetu kuwa majuma ya mavuno yawepo kwa wakati wake" # uovu wako Neno "wako" linamaanisha kizazi chaYakobo na watu wa Yuda. "dhambi zako" # mambo mema mvua na mavuno