sw_tn/jer/05/18.md

24 lines
341 B
Markdown

# katika siku hizo
Kirai "siku hizo" kinamaanisha wakati ambapo hilo taifa litakuja kuwavamia watu wa Israeli.
# asema BWANA
Tazama 1:7
# sikusudii kuwaharibu
"sitawaangamiza"
# itatokea kwenu
"itakapotokea kwamba .."
# haya yote
BWANA atatuma jeshi geni kuiangamiza Israeli.
# kuabudu miungu migeni
"kuwatumikia miungu migeni"