# katika siku hizo Kirai "siku hizo" kinamaanisha wakati ambapo hilo taifa litakuja kuwavamia watu wa Israeli. # asema BWANA Tazama 1:7 # sikusudii kuwaharibu "sitawaangamiza" # itatokea kwenu "itakapotokea kwamba .." # haya yote BWANA atatuma jeshi geni kuiangamiza Israeli. # kuabudu miungu migeni "kuwatumikia miungu migeni"