sw_tn/jer/03/21.md

215 B

Sauti ilisikika

"Watu walisikia sauti"

Kilio na kusihi

"kulia kuomba kwa sauti ya juu"

Tazama

Neno "tazam"a hapa linatupa angalizo la kusikiliza kwa makini kwa ajili ya taarifa za kushangaza zinazofuata.