# Sauti ilisikika "Watu walisikia sauti" # Kilio na kusihi "kulia kuomba kwa sauti ya juu" # Tazama Neno "tazam"a hapa linatupa angalizo la kusikiliza kwa makini kwa ajili ya taarifa za kushangaza zinazofuata.