sw_tn/jer/03/11.md

348 B

mwenye haki, haki

Neno "haki" na "mwenye haki" linamlenga Mungu ambaye yeye ni mwema, mwenye hukumu sahihi, mwaminifu, na mwenye upendo, na kwa sabab yeye ni mwenye haki; basi ataihukumu dhambi.

Neno

Neno linamaanishsa kitu ambacho mtu amesema.

mwaminifu

Kuwa mwaminifu kwa Muungu maana yake ni kuishi kulingana na mafundisho ya Mungu.