sw_tn/jer/02/18.md

20 lines
401 B
Markdown

# Kwa hiyo ... ya Mto Frati?
Msisafiri kwenda Shihorikufanya ushirika na watawala wa Misri. Msisafri kwenda Frati kufanya ushirika na Ashuru!
# Shihori
Ni mpaka wa Kanaani uliio kusni magharibbi ya Kanaani, kwenye mto uliokauka.
# Uovu wako unakukukemea na maasi yako yatakuadhibu.
"Kwa sababu umekuwa mwovu na mwasi, Nitakuadhibu."
# ni uovu na uchungu
"ni uovu uliokithiri"
# hofu
hofu kuu