# Kwa hiyo ... ya Mto Frati? Msisafiri kwenda Shihorikufanya ushirika na watawala wa Misri. Msisafri kwenda Frati kufanya ushirika na Ashuru! # Shihori Ni mpaka wa Kanaani uliio kusni magharibbi ya Kanaani, kwenye mto uliokauka. # Uovu wako unakukukemea na maasi yako yatakuadhibu. "Kwa sababu umekuwa mwovu na mwasi, Nitakuadhibu." # ni uovu na uchungu "ni uovu uliokithiri" # hofu hofu kuu