sw_tn/jer/02/09.md

32 lines
492 B
Markdown

# Kwa hiyo nitaendelea kuwashitaki
"Kwa hiyo nitaendelea kuwashitaki nyumba ya Israeli"
# BWANA asema
Tazama 1:7
# watoto wa watoto wenu
"kizazi chenu kijacho"
# Kwa kuvuka kwenda hadi pwani ya Kitimu
"kusafiri kwa kuvuka bahari hadi kisiwa cha Kitimu"
# Kitimu
Siprusi
# Kedari
nchi iliyo mbali mashariki mwa Israeli
# Je, taifa limebadilisha miungu ... miungu
"Mtaona kuwa hakuna taifa ambalo limebadilisha ... miungu"
# haiwezi kuwasadia
"miungu ambayo haiwezi kuwasaidia"