# Kwa hiyo nitaendelea kuwashitaki "Kwa hiyo nitaendelea kuwashitaki nyumba ya Israeli" # BWANA asema Tazama 1:7 # watoto wa watoto wenu "kizazi chenu kijacho" # Kwa kuvuka kwenda hadi pwani ya Kitimu "kusafiri kwa kuvuka bahari hadi kisiwa cha Kitimu" # Kitimu Siprusi # Kedari nchi iliyo mbali mashariki mwa Israeli # Je, taifa limebadilisha miungu ... miungu "Mtaona kuwa hakuna taifa ambalo limebadilisha ... miungu" # haiwezi kuwasadia "miungu ambayo haiwezi kuwasaidia"