sw_tn/jer/01/09.md

16 lines
216 B
Markdown

# nimeweka maneno yangu kinywani mwako
"nimekupa ujumbe wangu ili uwaambie watu
# kung''oa
kuvuta mmea kutoka ardhini "kinyume cha kupanda"
# kuvunja
kinyume cha kujenga
# kuharibu na kutupa
kuangamiza kabisa