# nimeweka maneno yangu kinywani mwako "nimekupa ujumbe wangu ili uwaambie watu # kung''oa kuvuta mmea kutoka ardhini "kinyume cha kupanda" # kuvunja kinyume cha kujenga # kuharibu na kutupa kuangamiza kabisa