sw_tn/jdg/21/18.md

12 lines
281 B
Markdown

# mke kwa Benyamini
"mke kwa watu wa Benyamini"
# ambayo ni kaskazini ya Betheli, mashariki ya barabara inayopanda kutoka Betheli hadi Shekemu, na kusini mwa Lebona
Haya ni maelezo yanayotolewa ili kumuwezesha msomaji kuelewa ulipo mji wa Shilo.
# Lebona
Hili ni jina la mji.