# mke kwa Benyamini "mke kwa watu wa Benyamini" # ambayo ni kaskazini ya Betheli, mashariki ya barabara inayopanda kutoka Betheli hadi Shekemu, na kusini mwa Lebona Haya ni maelezo yanayotolewa ili kumuwezesha msomaji kuelewa ulipo mji wa Shilo. # Lebona Hili ni jina la mji.