sw_tn/jdg/21/16.md

12 lines
293 B
Markdown

# Mbenyamini
Huu ni uzao wa Benyamini.
# wanawake wa Benyamini wameuawa
"tumewauwa wanawake wote wa Benyamini"
# Lazima kuwe na urithi ... lisiharibiwe kutoka Israeli.
Waisraeli wanaongeza chunvi tuu. Tayari walishawapa Wabenyamini wake mia nne hivyo kabila halitaharibiwa moja kwa moja.