# Mbenyamini Huu ni uzao wa Benyamini. # wanawake wa Benyamini wameuawa "tumewauwa wanawake wote wa Benyamini" # Lazima kuwe na urithi ... lisiharibiwe kutoka Israeli. Waisraeli wanaongeza chunvi tuu. Tayari walishawapa Wabenyamini wake mia nne hivyo kabila halitaharibiwa moja kwa moja.