sw_tn/jdg/21/08.md

20 lines
390 B
Markdown

# Jabeshi-Gileadi
Hili ni jina la mji.
# watu walipokuwa wamepangwa kwa utaratibu
"watu waliokuwa wamekusanyika huko Mispa walikuwa wamepangwa"
# hakuna hata mmoja wa wenyeji wa Yabeshi Gileadi
"hakuna hata mmoja wa uzao wa Yabeshi Gileadi aliyekuwepo Mispa"
# Kumi na mbili elfu
"12,000"
# Waueni, hata wanawake na watoto.
Mistari inayofuata inaweka mipaka juu ya maelekezo haya.