# Jabeshi-Gileadi Hili ni jina la mji. # watu walipokuwa wamepangwa kwa utaratibu "watu waliokuwa wamekusanyika huko Mispa walikuwa wamepangwa" # hakuna hata mmoja wa wenyeji wa Yabeshi Gileadi "hakuna hata mmoja wa uzao wa Yabeshi Gileadi aliyekuwepo Mispa" # Kumi na mbili elfu "12,000" # Waueni, hata wanawake na watoto. Mistari inayofuata inaweka mipaka juu ya maelekezo haya.