sw_tn/jdg/21/01.md

12 lines
414 B
Markdown

# Sasa watu wa Israeli walikuwa wameahidi huko ... kuolewa na Mbenyamini
Mwandishi anatuambia juu ya ahadi waliyoifanya Waisraeli kabla ya vita na Wabenyamini.
# Mbenyamini
Hili ni jina la uzao wa Benyamini.
# Kwa nini, Bwana, Mungu wa Israeli, amefanya jambo hili kwa Waisraeli, kwamba moja ya makabila yetu linapotea leo?
Waisraeli walitumia swali hili kuelezea ni kwa namna gani walikuwa na huzuni kubwa.