forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
372 B
Markdown
12 lines
372 B
Markdown
# Wana wa Israeli walikuwa wametoa ardhi kwa Benyamini, kwa kuwa walikuwa wakihesabu watu waliowaweka katika nafasi zilizofichwa nje ya Gibea.
|
|
|
|
Sentensi hii mpaka mstari wa 41 unaelezea ni kwa namna gani uvamizi ulisababisha Wabenyamini kushindwa.
|
|
|
|
# wametoa ardhi kwa Benyamini
|
|
|
|
"Waliwaruhusu Wabenyamini kusogea mbele"
|
|
|
|
# walikuwa wakihesabu watu
|
|
|
|
Waliwaamini watu wao.
|