|
# mtu mmoja
|
|
|
|
Hii inazungumzia kundi la watu ambalo lipo kama mtu mmoja.
|
|
|
|
# Dani mpaka Beer-sheba
|
|
|
|
Hii ni nchi kwa ujumla.
|
|
|
|
# Mungu-watu 400,000 waendao kwa miguu
|
|
|
|
"Mungu na pia askari 400,000 walikuja"
|
|
|
|
# tayari kupigana
|
|
|
|
"wenye uwezo wa kupigana." Hawakupigana wao kwa wao.
|