# mtu mmoja Hii inazungumzia kundi la watu ambalo lipo kama mtu mmoja. # Dani mpaka Beer-sheba Hii ni nchi kwa ujumla. # Mungu-watu 400,000 waendao kwa miguu "Mungu na pia askari 400,000 walikuja" # tayari kupigana "wenye uwezo wa kupigana." Hawakupigana wao kwa wao.