sw_tn/jdg/19/29.md

12 lines
273 B
Markdown

# Mguu kwa mguu
Mwandishi anatumua maneno haya kuonesha ni kwa namna gani Mlawi aliugawa mwili wa yule mwanamke vipande vipande.
# Vipande kumi na mbili
"Vipande 12"
# akapeleka vipande kila mahali katika Israeli
"akapeleka kila kipande maeneo tofauti katika Israeli"