# Mguu kwa mguu Mwandishi anatumua maneno haya kuonesha ni kwa namna gani Mlawi aliugawa mwili wa yule mwanamke vipande vipande. # Vipande kumi na mbili "Vipande 12" # akapeleka vipande kila mahali katika Israeli "akapeleka kila kipande maeneo tofauti katika Israeli"