sw_tn/jdg/18/21.md

28 lines
556 B
Markdown

# Wameweka watoto wadogo mbele yao wenyewe
Walisafiri kwa namna hii ili kuwalinda watoto.
# umbali mzuri
Huu sio umbali mrefu lakini unatosha kupima namna mnavyoendelea.
# watu waliokuwa ndani ya nyumba zilizo karibu na nyumba ya Mika waliitwa
"Mika aliwaita watu waliokuwa wakiishi katika nyumba zilizokuwa karibu na nyumba yake"
# wakawafikia Wadani
"waliwakimbilia Wadani na wakawafikia"
# wakageuka
"Wadani wakageuka"
# Kwa nini mmewaita pamoja?
"Msingewaita watu wenu pamoja ili kutukimbiza"
# mmewaita pamoja
"mmewaita watu hawa pamoja"