# Wameweka watoto wadogo mbele yao wenyewe Walisafiri kwa namna hii ili kuwalinda watoto. # umbali mzuri Huu sio umbali mrefu lakini unatosha kupima namna mnavyoendelea. # watu waliokuwa ndani ya nyumba zilizo karibu na nyumba ya Mika waliitwa "Mika aliwaita watu waliokuwa wakiishi katika nyumba zilizokuwa karibu na nyumba yake" # wakawafikia Wadani "waliwakimbilia Wadani na wakawafikia" # wakageuka "Wadani wakageuka" # Kwa nini mmewaita pamoja? "Msingewaita watu wenu pamoja ili kutukimbiza" # mmewaita pamoja "mmewaita watu hawa pamoja"