sw_tn/jdg/18/09.md

20 lines
310 B
Markdown

# Je hamfanyi kitu?
Hili ni swali lenye maana ya kuwa mnapaswa kufanya jambo. "Mnapaswa kuchukua hatua sasa"
# Msiwe wavivu kushambulia
"Shambulieni haraka"
# nchi ni pana
"Nchi ni kubwa"
# hapajapungukiwa kitu chochote duniani
"tutakuwa na kila kitu tunachokitaka"
# hakujapungukiwa
"kuna kila kitu"