# Je hamfanyi kitu? Hili ni swali lenye maana ya kuwa mnapaswa kufanya jambo. "Mnapaswa kuchukua hatua sasa" # Msiwe wavivu kushambulia "Shambulieni haraka" # nchi ni pana "Nchi ni kubwa" # hapajapungukiwa kitu chochote duniani "tutakuwa na kila kitu tunachokitaka" # hakujapungukiwa "kuna kila kitu"