sw_tn/jdg/17/10.md

16 lines
371 B
Markdown

# baba na kuhani
Hapa "baba" imetumika kama mshauri. "mshauri na kuhani"
# suti ya nguo
"suti ya nguo kila mwaka"
# Basi Mlawi akaingia nyumbani mwake
"Hivyo Mlawi akakubaliana na alichoambiwa na akaingia kwenye nyumba yake"
# huyo kijana kwa Mika akawa kama mmoja wa wanawe
Uhusiano kati ya Mika na Mlawi ukawa wa karibu sana kama uhusiano wa baba na mtoto wake.