# baba na kuhani Hapa "baba" imetumika kama mshauri. "mshauri na kuhani" # suti ya nguo "suti ya nguo kila mwaka" # Basi Mlawi akaingia nyumbani mwake "Hivyo Mlawi akakubaliana na alichoambiwa na akaingia kwenye nyumba yake" # huyo kijana kwa Mika akawa kama mmoja wa wanawe Uhusiano kati ya Mika na Mlawi ukawa wa karibu sana kama uhusiano wa baba na mtoto wake.