sw_tn/jdg/17/07.md

20 lines
331 B
Markdown

# Wa Bethlehemu
"toka Bethlehemu"
# wa jamaa ya Yuda
Hii inamaana kuwa alikuwa akiishi kati ya familia ya Yuda, ambalo ni kabila la Yuda.
# Alikaa huko ili kutimiza majukumu yake
"Alikaa na kufanya kazi huko"
# kutafuta mahali pa kuishi
"kutafuta sehemu tofauti ya kuishi"
# nipate kuishi
"ambapo nitaishi na kupata kazi"